Numbers 29:12

Sikukuu Ya Vibanda

(Walawi 23:33-44)

12 a“ ‘Katika siku ya kumi na tano ya mwezi wa saba, mtakuwa na kusanyiko takatifu, na hamtafanya kazi za kawaida. Adhimisheni sikukuu kwa Bwana kwa siku saba.
Copyright information for SwhNEN